MISTARI 7 YA BIBLIA AMBAYO SHETANI HATAKI UIJUE inamchoma KILA UNAPOISOMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 апр 2025

Комментарии • 302

  • @arubartgodfrey
    @arubartgodfrey Год назад +151

    Leo nimekua wakwanza naomba like zangu

    • @FAFANUOMEDIA
      @FAFANUOMEDIA  Год назад +6

      🔥🔥🔥

    • @arubartgodfrey
      @arubartgodfrey Год назад +2

      Asante mkuu unatupa elimu unatutia moyo

    • @EliaMvungi
      @EliaMvungi Год назад +1

      Amen mung no mkuu ukimtegemea unapata kibal

    • @نيجي-ن1د
      @نيجي-ن1د Год назад +7

      Upewe like kwa kipi unatafakari kilichozungumzwa kwenye hiki kipindi ni kugombania like ili upeleke wapi

    • @AdronisNiyikundana
      @AdronisNiyikundana 11 месяцев назад +1

      Badala yakumuabudu mungu unataka ma ligne ,we vp?

  • @Anney-qr5ls
    @Anney-qr5ls Год назад +24

    Nmebarikiwa mnooooooo nmejifunza san Mungu akubariki akupe maisha marefu ktk utumishi wako

  • @GiftErasmus-pd7zz
    @GiftErasmus-pd7zz Год назад +18

    Naomba Mungu akae ndani yangu shetani asipate nafasi kwangu na familia yangu

  • @bettymuhonja9967
    @bettymuhonja9967 Год назад +15

    Ameni mtumishi barikiwa sana

  • @tunsumemwakinyuke661
    @tunsumemwakinyuke661 Год назад +19

    Naomba mungu akae ndani yangu shetani asipate nafasi

  • @RatifaHabibu
    @RatifaHabibu Год назад +29

    Eee Mungu naomb ufanye jambo jipya baad ya kusikiliz mafundisho haya

  • @nancyshikuku-vs9le
    @nancyshikuku-vs9le Год назад +2

    Ameeen MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU.

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Год назад +34

    Mimi naomba mwenyezi Mungu aishi ndani yangu,shetani asipate nafasi ya kuniteka,naomba Mungu anipe imani kubwa ya kumuamini na kumtegemea yeye pekee.

  • @GreciousKahame
    @GreciousKahame 11 месяцев назад +15

    Mungu azidi kunipa hekima na kiu ya kulijua neno la Mungu Kila wakat❤

  • @EmanwelinaAlistides
    @EmanwelinaAlistides Год назад +10

    YESU alikuja ili tuwe na uzima kisha tuwe nao tele...Ooooh Asante MUNGU kwa Uzima

  • @isaacjosephjoseph2733
    @isaacjosephjoseph2733 Год назад +25

    MB zangu si kitu kabisa kwenye NENO. Nahitaji kujifunza NENO la MUNGU zaidi kwani mimi niwa mbinguni nasio wadunia hii💒📖💯✅

  • @jumajohnmwilelo7453
    @jumajohnmwilelo7453 Год назад +3

    Amen Amen Amen Mtumishi, shetani leo amekupata kabisa. Amepofusha wengi wanamfuata bila kujuwa kwamba wamekosea meli yakuondoka nayo.

  • @HassanWatika-t3u
    @HassanWatika-t3u 29 дней назад

    Good teaching l like it keep it up.Amen

  • @MagrethAndrew-p5o
    @MagrethAndrew-p5o 8 месяцев назад +3

    Ubarikowe sana sana Mtumishi wa Mungu.Mwenyezi Mungu Akutunze .undelelee kutufundisha Neno la Mungu .

  • @frankswai1192
    @frankswai1192 4 месяца назад +3

    Ee BWANA MUNGU naomba uniongoze katka maisha ya dunia nivuke salama na unijarie mwisho mwema MM NI MWENYE DHAMBI naomba rhema kwako Amina!!

  • @DinahJ-ln8pr
    @DinahJ-ln8pr 4 месяца назад +2

    Nimebarikiwa eee mungu kaa ndani ya roho yangu daima wew dio unastahiri kuhabudiwa Amen

  • @gracerashidi-z8u
    @gracerashidi-z8u Год назад +1

    Asante sana mungu akubariki nimependa ushauriwako mungu akubariki 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
    @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص Год назад +17

    Jina la mungu ni Jina lipitalo majina yote na Lina nguvu zaajabu🙏🙏

    • @ibrahimucharlessatto3449
      @ibrahimucharlessatto3449 Год назад +5

      Neno Mungu haliandikwi kwa herufi ndogo bali kubwa, Jina YESU ndilo jina lipitalo majina yote nasi jina Mungu

    • @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
      @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص Год назад

      @@ibrahimucharlessatto3449 navipi kama nisimu ndoina matatizo au wewe huja wai Korea kuandika kitu chochote kwenye mutandao na ukakosea

    • @godlovemalekela17
      @godlovemalekela17 11 месяцев назад +1

      Safi🎉

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د Год назад +2

    Amina barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @JARIBUMSIGALA
    @JARIBUMSIGALA 4 месяца назад +1

    Wote mnaojua uwepo wa Mungu maishan mwenu mseme Amen

  • @sadickhassan8764
    @sadickhassan8764 4 месяца назад +1

    Mungu zidi nibariki katika kunitoa kwenye ulimwengu mbaya ulo jaa dhambi ninariki mungu

  • @onesmoMleba-l5k
    @onesmoMleba-l5k 4 месяца назад +1

    Ameni mungu anikumbushe wema wake kila siku milele daima

  • @Trigger-d7o
    @Trigger-d7o 11 месяцев назад +4

    Eeeh mungu naomba haya maneno yakae ndani mwangu...shetani asipate nafasi❤

  • @MrBm369
    @MrBm369 9 месяцев назад +2

    Kwa dam ya Yesu ilio mwagiga msalabani Kwa ajili yetu hakika tume kombolewa Amen🙏🙏

  • @isackmsuya3556
    @isackmsuya3556 10 месяцев назад +12

    Leo nimepata kitu maishan mwangu namshukuru MUNGU kupitia mtumish wake nimebarikiwa sana

  • @MarryMethodi
    @MarryMethodi 3 месяца назад +1

    Asante kunifunulia Haya kuyajuwa mwenyez Mungu akubariki Ameen 🙏

  • @resperadhiambo
    @resperadhiambo 3 месяца назад +1

    Asante mubiri mubarikiwe in Jesus name

  • @AllenMchewa
    @AllenMchewa Месяц назад

    Asante sana ukisikia haya mwambie na mwenzako wote tuwe watt wa Mungu

  • @AgnesKhaenzel
    @AgnesKhaenzel 10 месяцев назад +1

    Mungu wangu naomba uondowe shetani katika maisha yangu Mungu wangu

  • @EliaSilas
    @EliaSilas 9 месяцев назад +1

    Ameen namuomba Mungu akae ndani yangu shetani asipate nafasi ameen

  • @LeticiaRugakingira
    @LeticiaRugakingira 2 месяца назад +1

    Asante na mungu akubari uendelee kutufundisha

  • @BrightCooper-t6z
    @BrightCooper-t6z Год назад +4

    Ahsante sana barikiwa nimepata kujua kitu katika maisha yangu🙏

  • @dottosweya8457
    @dottosweya8457 6 месяцев назад +1

    amina mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana hakika nimejifunza mengi sana

  • @NeemaRange-r6g
    @NeemaRange-r6g 4 месяца назад +1

    Amen mtumishi ubarikiwe san

  • @Adjustushaule
    @Adjustushaule 9 месяцев назад +2

    Eemwenyezi mungu, , naomba unijalie kuyashinda majaribu maana nimengi na yanatisha

  • @WafulaMayende
    @WafulaMayende Год назад +9

    Mungu Baba Lihimidiwe Jina lako Tukufu ,na uitwe Mungu WA miungu kweli,,, Amen Amen Amen 🙏🙏🙏

  • @ABIGAIL67-tria
    @ABIGAIL67-tria Год назад +30

    1-James4:6
    2-Romans 16:19
    3-John 10:10
    4-Revelation 12:9
    5-1 peter 5:8
    6-1 John 4:4
    7-1John 3:8
    NB-Quran Tukufu;mlango 57:sura77-hadi 80
    NAWAPENDA SANA ENJOY 😍 😍 😍 😍

  • @PreciousEmmanuel-f6r
    @PreciousEmmanuel-f6r 8 месяцев назад +1

    Ahsantee MUNGU 🙏 kwaajili ya mtumishi huyu

  • @Danielnascimentogomes8
    @Danielnascimentogomes8 4 месяца назад

    We bwana mungu wangu ya dunia yako mengi naomba uweze kuniepusha na mambo ya dunia. Amen.

  • @CarolyneNerima
    @CarolyneNerima 4 месяца назад

    Amen 🙏🙏🙏ee Mungu Naomba unifunuliye siri zote za bibilia nikapate kukujua zaidi

  • @WandwilaSichalwe
    @WandwilaSichalwe Год назад +3

    Mungu akubariki mnoooo

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 11 месяцев назад +2

    Naamini Mungu atatenda kitu maishani mwangu mubarikiwe Sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ROSECHENGO
    @ROSECHENGO 10 месяцев назад +5

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu❤❤❤

  • @LindaNdikumana
    @LindaNdikumana Год назад +4

    Shetani hauna nafasi tena kwangu Amen 🔥🔥🙏🙏

  • @EdinaEdina-z8j
    @EdinaEdina-z8j 11 месяцев назад +6

    Ubarikiwe sana mungu azidi kukupa maaliifa

  • @MwanasitiNgome-k2o
    @MwanasitiNgome-k2o Месяц назад

    Amina mtumishi.ubarikiwe sana

  • @MorisChacha-k9h
    @MorisChacha-k9h 29 дней назад

    Barikiwa mtumishi nmejifunza..

  • @JeremiahLoserian
    @JeremiahLoserian 9 месяцев назад +2

    Yesu kiristo awe pamoja nasi kwa kila jambo,,,

  • @JohnsonMpinga-gy5wt
    @JohnsonMpinga-gy5wt 10 месяцев назад +2

    Asante na nikiwa na Bwana Yesu

  • @EfathaSanga
    @EfathaSanga 4 месяца назад +1

    MUNGU akubrki sana mtumishi.

  • @jacquelinewegener7296
    @jacquelinewegener7296 10 месяцев назад +2

    Hiyo Ni kweli kabisa Mtumishi wa mungu👏🏻🙏

  • @Mr.HassanHussen
    @Mr.HassanHussen Год назад +11

    🎉ni Mungu tu pekee ndiye mwenye nguvu kuliko wote Amin 🙏🙏🙏

  • @PaulMarko-x9j
    @PaulMarko-x9j 7 месяцев назад +1

    Ubarikiwe sana mtu wa Mungu ❤❤

  • @MercyYoram
    @MercyYoram 7 месяцев назад +1

    Naomba MUNGU akae ndani yangu shetani akae mbali nami

  • @susanaseyonyundo9689
    @susanaseyonyundo9689 10 месяцев назад +2

    Kabisa natamani nikapate kukolea kwa Neno kwanzia leo mm hapa ndio nyumbani sasa asante brother ❤may God bless you 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @dennisghati-c3k
    @dennisghati-c3k 5 месяцев назад +1

    Amen mtumishi ya Mungu

  • @JoanRecho-fn1ys
    @JoanRecho-fn1ys 11 месяцев назад +3

    Mungu akae ndani yangu ili niwe kiumbe kpya kila leo, anifankishe ktk maisha yangu 🙏🙏🙏

  • @ramadhanimajura8492
    @ramadhanimajura8492 8 месяцев назад +1

    Amen shetan ondok maishani mwangu

  • @EmanuellVictoria
    @EmanuellVictoria 8 месяцев назад +1

    mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana🙏

  • @gibsonmpango2967
    @gibsonmpango2967 3 месяца назад +1

    Ubarikiwe mtumishi

  • @DidaVideoShoot102
    @DidaVideoShoot102 11 месяцев назад +1

    Mungu ni mkuu wa vyote atatushindia Amina

  • @bakarially7619
    @bakarially7619 6 месяцев назад +1

    Amen mtumishi kwa neno

  • @dudumankidume3046
    @dudumankidume3046 11 месяцев назад +2

    Yakobo 4:6
    Warumi 19;16
    Yohani 10:10
    Ufunuo wa yohana 12:9
    1Petro 5:8
    1yohana4:4
    1yohana 3:8

  • @MagdalenaSilvester
    @MagdalenaSilvester 8 месяцев назад +1

    Bwana akubariki sanaaaaa kwni umechagua fungu lililo jemaaaa💯🫱

  • @Ruth-xx7tf
    @Ruth-xx7tf 11 месяцев назад +1

    Shetani hauna nafasi na mamlaka katika maisha yangu amina

  • @BraitonKitiga
    @BraitonKitiga 6 месяцев назад +1

    Eee Mungu naomba uniongoze nitende yaliyo mema amen niepukane na shetan shetan ashindwe kabisa

  • @Brown0068
    @Brown0068 11 месяцев назад +21

    Ukiw umeokoka vizuri usitumie nen Mwenyezi Mungu, sema Bwana Mungu utabarikiwa

    • @nine....
      @nine.... 11 месяцев назад

      True kk

    • @jayjoe5160
      @jayjoe5160 10 месяцев назад

      kwasababu gani nielimishe

    • @vickymeikasi1628
      @vickymeikasi1628 9 месяцев назад

      Hata maabii wa zamani wanatumia mwenzi Mungu

    • @vickymeikasi1628
      @vickymeikasi1628 9 месяцев назад +2

      Maana yake Ni Mungu mwenye enzi yote

    • @epifaniamilinga2848
      @epifaniamilinga2848 3 месяца назад

      Maana yake.maana yake..Mungu anatawala mbingu na nchi.na anakaa kgk kiti cha enzi.kosa lipo wapi? Hiyo ni sifa.

  • @msafirimwenetombwe8819
    @msafirimwenetombwe8819 9 месяцев назад +2

    Ubarikiwe kwa funzo nzuri

  • @PatrickMarwa
    @PatrickMarwa 9 месяцев назад

    Asante Sana kwa mafundisho yako amen

  • @MerryKashaija-jk9xh
    @MerryKashaija-jk9xh Год назад

    AMEEN asante sana mtumishi kwa mafundisho mazuri

  • @BraysonKileo-fc4mq
    @BraysonKileo-fc4mq 9 месяцев назад

    Eeh BWANA MUNGU kaa pamj mam na tembea nam amen

  • @MamaEdgar
    @MamaEdgar Год назад +3

    Asante kwa soma ubarikiwe sana

  • @luqman.expert
    @luqman.expert 4 месяца назад

    Sante Mungu kwakuniumba Ivi Nilivyo

  • @constantinmoita6855
    @constantinmoita6855 Год назад +3

    Asante Mutumishi uba rikiwe

  • @JacklineTotito-rh3im
    @JacklineTotito-rh3im Год назад +2

    Asante kwa mafundisho mazuri

  • @AzoryGeofrey
    @AzoryGeofrey 7 месяцев назад +1

    amen mtumishi barikiwa

  • @Claudebahogwerhe
    @Claudebahogwerhe 3 месяца назад

    Ninatamani kuwa ndani ya mwenyezi Mungu na Mungu ndani mwangu ili muovu shetani asipate hâta nafasi katika nafsi yangu na ndani ya familiya yangu

  • @EstherMwanzia-h3n
    @EstherMwanzia-h3n 5 месяцев назад +1

    Barikiwa sana mtumishi

  • @AidanLuoga-sg7tc
    @AidanLuoga-sg7tc Год назад +2

    Kujua walioo andika zipimeni Roho zitendazo kazi juu yenu nikasome vizuri.❤

  • @Elisabeth-g4n
    @Elisabeth-g4n 4 месяца назад +1

    Amen ubarikiw san

  • @KelvinAmos-ow7pf
    @KelvinAmos-ow7pf Год назад +1

    Asiemuamini yesu ahukimiwe milele minamuamin yesu

  • @tanializ4824
    @tanializ4824 11 месяцев назад

    Ahsante kwa kushare Neno hili takatifu
    Barikiwa

  • @salmaprice9100
    @salmaprice9100 Год назад +2

    Amen barikiwa sana

  • @chafumojangoyepangoulous4416
    @chafumojangoyepangoulous4416 Год назад +1

    Ubarikiwe Sana kwama neno ya uzima

  • @JacksonMartin-xl5le
    @JacksonMartin-xl5le 10 месяцев назад +4

    Barikiwa mtumishi

  • @AdamSalumu-w7g
    @AdamSalumu-w7g 9 месяцев назад

    Amina MUNGU atusaidie sana

  • @BishopWafula-r3n
    @BishopWafula-r3n 2 месяца назад

    Jina la yesu libarikiwe sana usiku na mchana

  • @Mack-h4r
    @Mack-h4r 4 месяца назад +1

    Mungu akubariku

  • @chrisbee7876
    @chrisbee7876 11 месяцев назад

    Amina , mungu simama namimi unitetee

  • @samwelimwanja4105
    @samwelimwanja4105 Год назад +5

    Nashukuru sana brother umeniongezea kitu

  • @JamesMuthangya-y8v
    @JamesMuthangya-y8v 3 месяца назад

    Huyo ni ukweli bwana thanks kwa mambo mazuri

  • @Linah-u4b
    @Linah-u4b 2 месяца назад

    Mungu akubariki sana

  • @EzekielMethusela
    @EzekielMethusela 6 месяцев назад +2

    Amina mtumish

  • @PiusGilbert-c2k
    @PiusGilbert-c2k 3 месяца назад +1

    Amina ubarikiwe

  • @jhonmuthama4529
    @jhonmuthama4529 Год назад +1

    Naomba mungu aendelee kutulinda nakutupa ufunuo barikiwa

  • @charimashanga
    @charimashanga 2 месяца назад

    Amen Amen

  • @johnmwita2222
    @johnmwita2222 9 месяцев назад +1

    🙏🏿 I pray to God that the devil will come out of us May God dwell in us💛🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @ibrahimucharlessatto3449
    @ibrahimucharlessatto3449 Год назад +2

    Kaka ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri

  • @j3st660
    @j3st660 6 месяцев назад +1

    Amina ubarikiwe sana

  • @YeremiaKikoti
    @YeremiaKikoti 5 месяцев назад +1

    Mwana wa Mungu alidhihirishwa